Pluto : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.5) (roboti Nyongeza: csb:Pluton
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
<sup>''Kuhusu matumizi ya jina "Utaridi" kwa sayari hii tazama chini kwa "jina"''</sup>
<sup>''Kuhusu matumizi ya jina "Utaridi" kwa sayari hii tazama chini kwa "jina"''</sup>
[[Picha:Hst pluto1.png|thumb|left|upright|Pluto na mwezi wake [[Charon (moon)|Charon]] jinsi inavyoonekana kwa [[darubini ya angani ya Hubble]].]]
[[Picha:Hst pluto1.png|thumb|upright|Pluto na mwezi wake [[Charon (moon)|Charon]] jinsi inavyoonekana kwa [[darubini ya angani ya Hubble]].]]

[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptun - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
[[Picha:TheKuiperBelt Orbits Pluto Polar.svg|thumb|250px|<<small>Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptun - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu</small>]]
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[Neptun]]. Mada yake ni mwamba na barafu. Kipenyo chake ni 2,390 km.
'''Pluto''' ni [[sayari kibete]] inayozunguka [[jua]] ng'ambo ya [[Neptun]]. Mada yake ni mwamba na barafu. Kipenyo chake ni 2,390 km.

Pitio la 00:49, 18 Mei 2011

Kuhusu matumizi ya jina "Utaridi" kwa sayari hii tazama chini kwa "jina"

Pluto na mwezi wake Charon jinsi inavyoonekana kwa darubini ya angani ya Hubble.
<Njia ya Pluto ya kuzunguka jua inakata njia ya Neptun - hali halisi njia ya Pluto ni duaradufu

Pluto ni sayari kibete inayozunguka jua ng'ambo ya Neptun. Mada yake ni mwamba na barafu. Kipenyo chake ni 2,390 km. Katika mwendo wake inakata njia ya Neptun kwa sababu njia yake ina umbo la duaradufu kali.

Miezi

Pluto ina miezi mitatu inayoitwa Charon, Nix na Hydra. Charon ni kama nusu ukubwa wa Pluto na umbali wa wastani ni 19,410 km. Nix na Hydra ni miezi midogo (kipenyo cha 45 na 160 km) yenye umbali wa 44,000 km kutoka Pluto.

Sayari au sayari kibete?

Pluto Ilikuwa ikitambulika kama sayari ya tisa katika mfumo wa jua na sayari zake toka mwaka 1930 hadi Agosti 2006. Vipimo vipya vilileta wasiwasi juu ya swali: Je, sayari ni kitu gani?, hasa baada ya kugundua magimba ya ziada nje ya Pluto yanayokaribia ukubwa wake lakini hayafai kuitwa sayari.

Umoja wa kimataifa wa wanaastronomia uliondoa Pluto katika orodha ya sayari kwenye mkutano wake wa mwaka wa 2006. Badala yake wameiita sayari kibete. Hata hivyo baadhi ya wanasayansi wa falaki wamepinga uamuzi huo na wameanzisha kampeni ya kurekebisha uamuzi huo.

Jina

Jina "Pluto" linamtaja mungu mtawala wa kuzimu katika mitholojia ya Roma ya Kale. Limechaguliwa kwa sayari hii kutokana na umbali wake na jua na giza kubwa iliko sawa na hali ya giza ambayo ni mfano wa kuzimu.

Vitabu kadhaa vinatumia jina la Kiswahili Utaridi[1] [2] [3] kwa kufuata kamusi ya KAST; lakini jina hili kiasili ni jina la sayari ya kwanza.[4]

Marejeo

  1. Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066
  2. TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani. Available at: www.tessafrica.net
  3. Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X
  4. KAST ni kamusi ya pekee inayotumia "Utaridi" kwa sayari hii. KKK/ESD ya TUKI inaonyesha Pluto. Linganisha ukurasa wa Majadiliano:Sayari

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pluto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA