Kilomita : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: mrj:Уштыш
No edit summary
Mstari 7: Mstari 7:
Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama [[maili]] au [[verst]].
Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama [[maili]] au [[verst]].


Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya [[falaki]] kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya [[mwezi]] na [[dunia]] inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au 300,000 km. Lakini umbali kutoka [[jua]] letu hadi [[nyota]] ya jirani [[Alpha Centauri]] ni mbali mno. Hapa kipimo cha [[mwaka wa nuru]] hutumiwa.
Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya [[astronomia]] kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya [[mwezi]] na [[dunia]] inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au 300,000 km. Lakini umbali kutoka [[jua]] letu hadi [[nyota]] ya jirani [[Alpha Centauri]] ni mbali mno. Hapa kipimo cha [[mwaka wa nuru]] hutumiwa.


[[Jamii:Vipimo vya urefu]]
[[Jamii:Vipimo vya urefu]]

Pitio la 19:50, 15 Mei 2011

Kilomita ni kipimo cha urefu. Kinamaanisha urefu wa mita 1,000. Kifupi chake ni km.

Kilomita ni kipimo cha umbali cha kawaida katika maisha ya kila siku cha kupimia umbali usio karibu. Umbali kati ya miji hupimwa kwa kilomita.

Kilomita ni sehemu ya vipimo vya SI vyenye msingi wa mita.

Katika nchi mbalimbali kilomita imechukua nafasi ya vipimo vingine kama maili au verst.

Kwa umbali mkubwa mno kama kwa vipimo vya astronomia kilomita haifai tena. Hapo kuna vipimo vingine. Kwa mfano umbali kati ya mwezi na dunia inaweza kutajwa kwa kilomita ni lakhi tatu au 300,000 km. Lakini umbali kutoka jua letu hadi nyota ya jirani Alpha Centauri ni mbali mno. Hapa kipimo cha mwaka wa nuru hutumiwa.