James Kirkwood : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: es:James Kirkwood, Jr.
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: pt:James Kirkwood Jr.
Mstari 12: Mstari 12:
[[es:James Kirkwood, Jr.]]
[[es:James Kirkwood, Jr.]]
[[fr:James Kirkwood, Jr.]]
[[fr:James Kirkwood, Jr.]]
[[pt:James Kirkwood Jr.]]

Pitio la 21:06, 13 Mei 2011

James Kirkwood (22 Agosti, 192421 Aprili, 1989) alikuwa mchezaji na mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa kuandika, pamoja na Nicholas Dante, igizo lenye muziki liitwalo kwa Kiingereza A Chorus Line lililotolewa 1975. Mwaka wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya igizo hilo.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu James Kirkwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.