Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ja:ムボジ隕石
Mstari 12: Mstari 12:
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
[[Jamii:Wilaya ya Mbozi]]
[[Jamii:Gimba la angani]]
[[Jamii:Gimba la angani]]



[[en:Mbozi meteorite]]
[[en:Mbozi meteorite]]
[[ja:ムボジ隕石]]
[[pl:Mbozi (meteoryt)]]
[[pl:Mbozi (meteoryt)]]

Pitio la 07:24, 12 Mei 2011

Anwani ya kijiografia ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. Chuma ni 90.45%, nikeli 8,69%, sulfuri 0,01% na fosfori 0,11% ya masi yake.

Viungo vya Nje