23 Septemba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: rue:23. септембер |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: dv:ސެޕްޓެމްބަރު 23 |
||
Mstari 42: | Mstari 42: | ||
[[da:23. september]] |
[[da:23. september]] |
||
[[de:23. September]] |
[[de:23. September]] |
||
[[dv:ސެޕްޓެމްބަރު 23]] |
|||
[[el:23 Σεπτεμβρίου]] |
[[el:23 Σεπτεμβρίου]] |
||
[[en:September 23]] |
[[en:September 23]] |
Pitio la 20:24, 11 Mei 2011
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1740 - Go-Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 117 wa Japani (1762-1771)
- 1771 - Kokaku, Mfalme Mkuu wa 119 wa Japani (1779-1817)
- 1901 - Jaroslav Seifert (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984)
- 1915 - Clifford Shull, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
Waliofariki
- 1835 - Vincenzo Bellini, mtunzi wa opera kutoka Italia
- 1929 - Richard Zsigmondy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925)
- 1968 - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1973 - Pablo Neruda (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1971)