Tofauti kati ya marekesbisho "Ukomunisti"

Jump to navigation Jump to search
463 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: bcl:Komunismo)
 
Hili ni wazo la kizamani, lakini limeanza kuwa maarufu baada ya [[Mapinduzi ya Ufaransa]] na harakati zingine maarufu za huko Ulaya mwanzoni mwa miaka ya 1800.
 
Pamoja na hoja la kufikia hali ya usawa bila utawala kati ya wanadamu wanaitikadi wa ukomunsti waliona ni lazima kuwa na kipindi cha udikteta ambako wakomunisti wanashika utawala na kukandamiza upinzani dhidi ya mabadiliko waliyoona ya lazima kufikia shabaha yao.
 
[[Vladimir Lenin]] alipanusha nadharia ya ukomunisti akidai lazima kuwa na [[chama cha kikomunisti]] kinachopanga mapinduzi na kushika utawala katika kipindi alichoita "udikteta wa wafanyakazi".
 
== Siasa ==

Urambazaji