Ella Fitzgerald : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vi:Ella Fitzgerald
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be:Эла Фіцджэральд
Mstari 18: Mstari 18:
[[an:Ella Fitzgerald]]
[[an:Ella Fitzgerald]]
[[ar:إلا فيتزجيرالد]]
[[ar:إلا فيتزجيرالد]]
[[be:Эла Фіцджэральд]]
[[bg:Ела Фицджералд]]
[[bg:Ела Фицджералд]]
[[bs:Ella Fitzgerald]]
[[bs:Ella Fitzgerald]]

Pitio la 20:24, 5 Mei 2011

Ella Fitzgerald 1940

Ella Fitzgerald (25 Aprili, 191715 Juni, 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs). Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.

Ella Fitzgerald alizaliwa Aprili 25 1918 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.

Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.

Kigezo:Link FA