Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 8: Mstari 8:
! Methali !! Maana/Matumizi!! Taafsiri ya Kizungu !! Mhariri
! Methali !! Maana/Matumizi!! Taafsiri ya Kizungu !! Mhariri
|-
|-
| Asiyeskia la mkuu,huvunjika guu || Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata||He that does not heed the elderly advice,evil befalls him ||'''[[Mtumiaji:Limoke oscar|Limoke oscar]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Limoke oscar|majadiliano]])''' 13:09, 28 Aprili 2011 (UTC)
| Asiyeskia la mkuu,huvunjika guu || || ||
|-
|-
|Aisifuye mvua,imemnyea ||Hutumika kuashiria mtu asifuye jambo fulani,bila shaka ashatambua umuhimu/utamu wake. ||He that praises rain,has seen it|| '''[[Mtumiaji:Mpmayenge|Mpmayenge]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Mpmayenge|majadiliano]])''' 14:23, 19 Aprili 2011 (UTC)

| || || ||
| || || ||

Pitio la 13:09, 28 Aprili 2011

Methali ni aina ya usemi wa kisanii wa kimapokeo unaofikiriwa na jamii kuwa wa kweli na unaotumiwa kufumbia au kutolea mfano na huwa umebeba maana pana kuliko maneno yenyewe yanayotumiwa.

Kila Taifa na kila kabila lina methali zake, baadhi ya methali za kiswahili ni kama; mficha ugonjwa kifo humuumbua na mcheza kwao hutunzwa.

Methali za Kiswahili

Methali Maana/Matumizi Taafsiri ya Kizungu Mhariri
Asiyeskia la mkuu,huvunjika guu Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata He that does not heed the elderly advice,evil befalls him Limoke oscar (majadiliano) 13:09, 28 Aprili 2011 (UTC)
Aisifuye mvua,imemnyea Hutumika kuashiria mtu asifuye jambo fulani,bila shaka ashatambua umuhimu/utamu wake. He that praises rain,has seen it Mpmayenge (majadiliano) 14:23, 19 Aprili 2011 (UTC)

Viungo vya Nje (Methali za Kiswahili)

Kigezo:Lien BA