Tofauti kati ya marekesbisho "Wingu"

Jump to navigation Jump to search
16 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
viungo
(viungo)
[[Picha:Bluesky2.jpg|thumbnail|right|200px|Mawingu angani]]
'''Wingu''' ni matone madogo ya [[maji]] yanayoelea pamoja katika [[angahewa]] juu ya ardhi. Mawingu ni mahali ambako [[mvua]] na [[theluji]] hutoka.
 
== Kutokea kwa mawingu ==
 
== Kuelea kwa mawingu na kunyesha kwa mvua ==
Matone ndani ya wingu yanaweza kuelea angani[[anga]]ni kwa muda mrefu kama ni madogo. Mara nyingi matone madogo huwa na kipenyo cha [[milimita]] 0.001 hadi 0.015 hivyo ni nyepesi na mwendo wa kuanguka ni polepole. Hali halisi hayaanguki kwa sababu mawingu hutokea sehemu penye upepo wa kupanda juu na mwendo wa upepo huzidi au kulingana na mwendo wa kuanguka kutokana na [[graviti]].
 
Lakini matone yana mwelekeo wa kuungana na kuwa makubwa zaidi. Yanaweza kufikia kipenyo cha milimita 1-3 na kuwa mazito zaidi. Sasa uvutano wa graviti unapita mwendo wa upepo na matone yanaanza kuanguka chini kama [[usimbishaji]].

Urambazaji