Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|Galaxi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]
[[Picha:Andromeda galaxy.jpg|thumb|300px|Galaxi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110]]

'''Galaksi''' ni kundi la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja katika [[anga la umlimwengu]] zikishikwa na [[mvutano]] wao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
'''Galaksi''' ni kundi la [[nyota]] nyingi zinazoshikamana pamoja katika [[anga la umlimwengu]] zikishikwa na [[gravity]] yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.

Galaksi yetu ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama [[njia nyeupe]]. Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .

Pitio la 16:06, 25 Aprili 2011

Galaxi ya Andromeda yenye na. M 31 na galaksi mbili ndogo za kando M 32 na M 110

Galaksi ni kundi la nyota nyingi zinazoshikamana pamoja katika anga la umlimwengu zikishikwa na gravity yao. Nyota hupatikana angani katika makundi kama mawingu makubwa sana. Kuna galaksi nyingi sana ulimwenguni. Kwa wastani kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama bilioni 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.

Galaksi yetu ikiwemo mfumo wa jua letu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama kanda la kung'aa kwenye anga la usiku linalojulikana kama njia nyeupe. Umbo lake unafanana na kisahani ikiwa kipenyo chake ni miaka ya nuru 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa Andromeda ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .

Idadi kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya darubini au vyombo vya angani.

Galaksi zinazojulikana zimepewa namba katika orodha ya kimataifa ya wanasayansi wa falaki.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Galaksi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA