Ulaya ya Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya Mjanja (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Ripchip Bot
Mstari 4: Mstari 4:


Kwa hakika tamko hili lamaanisha:
Kwa hakika tamko hili lamaanisha:
* Nchi za [[Skandinavia]] pamoja na [[Denmaki]], [[Ufini]], [[Aisilandi]], [[Norwei]] na [[Uswidi]], pia visiwa vya [[Faroe]].
* Nchi za [[Skandinavia]] pamoja na [[Denmark]], [[Ufini]], [[Iceland]], [[Norwei]] na [[Uswidi]], pia visiwa vya [[Faroe]].
* [[Nchi za Kibalti]] yaani [[Estonia]], [[Latvia]] na [[Lithuania]].
* [[Nchi za Kibalti]] yaani [[Estonia]], [[Latvia]] na [[Lithuania]].



Pitio la 12:24, 23 Aprili 2011

Ulaya ya Kaskazini na nchi zinazokubaliwa kwa kawaida kuwa sehemu zake
Kanda za UM linaonyesha visiwa vya Britania kuwa sehemu ya Ulaya ya Kaskazini.

Ulaya ya Kaskazini ni sehemu ya kaskazini ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili.

Kwa hakika tamko hili lamaanisha:

  • Wakati mwingine hata nchi nyingine kando la Bahari ya Baltiki kama Urusi ya kaskazini-magharibi, Poland ya kaskazini, Ujerumani ya Kaskazini zinahesabiwa humo.