Dakar : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: fy:Dakar
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nap:Dakar
Mstari 89: Mstari 89:
[[mr:डकार]]
[[mr:डकार]]
[[ms:Dakar]]
[[ms:Dakar]]
[[nap:Dakar]]
[[nl:Dakar]]
[[nl:Dakar]]
[[nn:Dakar]]
[[nn:Dakar]]

Pitio la 04:37, 19 Aprili 2011


Jiji la Dakar
Nchi Senegal
Jengo la Bunge (Assemblée Nationale)
Ramani ya mitaa ya Dakar
Ramani ya mitaa ya Dakar

Dakar ni mji mkuu wa Senegal ikiwa na wakazi 2,352,000. Iko kwenye rasi la Verde ambalo ni pembe la magharibi ya Afrika. Bandari yake ina nafasi nzuri kwa biashara na Ulaya na Amerika.

Mji ulianzishwa na Wafaransa mwaka 1857 walipoondoka Goree kisiwani kuhamia bara. Ukapata bandari ya biashara na pia bandari ya kijeshi halafu ukawa mwanzo wa reli katika Senegal. Mwaka 1902 Dakar ilikuwa mji mkuuwa Afrika ya Magharibi ya Kifaransa badala ya Saint-Louis. Kati 1959 hadi 1960 ilikuwa mji mkuu wa Shirikisho la Mali, baadaye mji mkuu wa Senegal.

Kisiwa cha Goree ambacho sasa ni sehemu ya mji kilikuwa kati ya vituo muhimu ya biashara ya watumwa. Boma la Fort D'Estrees Gorée kisiwani ilikuwa gereza la watumwa kabla ya kupelekwa kwenye meli na leo ni makumbusho.

Walizaliwa Dakat