Mauritania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: so:Mauritania
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: nap:Mauritania
Mstari 186: Mstari 186:
[[mt:Mawritanja]]
[[mt:Mawritanja]]
[[nah:Mauritania]]
[[nah:Mauritania]]
[[nap:Mauritania]]
[[nds:Mauretanien]]
[[nds:Mauretanien]]
[[nl:Mauritanië]]
[[nl:Mauritanië]]

Pitio la 05:25, 17 Aprili 2011

Mauritania


Mauritania ni nchi ya Afrika kaskazini-magharibi. Upande wa magharibi ni pwani la bahari ya Atlantiki, upande wa kusini imepakana na Senegal, upande wa mashariki na Mali na Algeria, upande wa Kaskazini na Sahara ya Magharibi inayotawaliwa na Moroko. Mji mkuu ni Nouakchott.

Jina limeteuliwa kutokana na Mauritania ya kale iliyokuwa ufalme wa Kiberber kusini ya Mediteranea katika eneo la Algeria na Moroko ya leo.

Mikoa ya Mauritania

Mauritania ina mikoa 12 (inaitwa "wilāyah").

Siasa ya Mauritania

Machi 2007 wananchi walipata nafasi ya kumchagua rais mara ya kwanza katika historia ya nchi tangu uhuru. Sidi Ould Cheikh Abdallahi alishinda katika kura ya pili kwa 53% za kura zote akaapishwa 20 Aprili 2007.

  1. Adrar (Atâr)
  2. Assaba (Kifa)
  3. Brakna (Aleg)
  4. Dakhlet Nouâdhibou (Nouâdhibou)
  5. Gorgol (Kaédi)
  6. Guidimaka (Sélibabi)
  7. Hodh ech Chargui (Néma)
  8. Hodh el Gharbi (‘Ayoûn el ‘Atroûs)
  9. Inchiri (Akjoujt)
  10. Nouakchott (mji mkuu)
  11. Tagant (Tidjikja)
  12. Tiris Zemmour (Zouérat)
  13. Trarza (Rosso)
Mauritaania provintside kaart

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mauritania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira