Henry III wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: simple:Henry III of England |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[picha:King_Henry_III_from_NPG.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 |
[[picha:King_Henry_III_from_NPG.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]] |
||
'''Henry III''' ([[1 Oktoba]] [[1207]] – [[16 Novemba]] [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa |
'''Henry III''' ([[1 Oktoba]], [[1207]] – [[16 Novemba]], [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa [[Eleanor wa Provence]]. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini [[London]] ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi. |
||
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa |
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya [[Magna Charta]] na kukubali makao ya [[bunge]] ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi. |
||
{{mbegu-mtu}} |
|||
{{DEFAULTSORT:Henry III}} |
|||
{{BD|1207|1272|}} |
{{BD|1207|1272|}} |
||
⚫ | |||
⚫ | |||
[[ar:هنري الثالث ملك إنجلترا]] |
[[ar:هنري الثالث ملك إنجلترا]] |
Pitio la 14:56, 15 Aprili 2011
Henry III (1 Oktoba, 1207 – 16 Novemba, 1272) alikuwa mfalme wa Uingereza mwaka 1216 alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa Eire hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa Eleanor wa Provence. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini London ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya Magna Charta na kukubali makao ya bunge ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry III wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |