Mwongo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
tahajia |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
''<small><small>-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama [[uongo]]-</small></small>'' |
''<small><small>-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama [[uongo]]-</small></small>'' |
||
'''Mwongo''' ni kipindi cha [[miaka]] 10. Miongo 10 hufanya [[karne]] moja. |
'''Mwongo''' (pia: '''dekadi''' kutoka [[Kigiriki]] / [[Kiingereza]] "decade") ni kipindi cha [[miaka]] 10. Miongo 10 hufanya [[karne]] moja. |
||
Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya |
Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya mwongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999. |
||
Njia nyingine ni kusema " |
Njia nyingine ni kusema "mwongo baada" au "mwongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Mwongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa [[vita kuu ya pili ya dunia]]. |
||
Pitio la 06:38, 9 Aprili 2011
-Kwa maana ya "mwongo" kumtaja mtu asiyesema ukweli kwa kusudi tazama uongo-
Mwongo (pia: dekadi kutoka Kigiriki / Kiingereza "decade") ni kipindi cha miaka 10. Miongo 10 hufanya karne moja.
Kila miaka 10 ya mfululizo hufanya mwongo lakini mara nyingi neno hutumiwa kutaja ile miaka kumi inayoanza kwa 1960 - 1969 au 1990 hadi 1999.
Njia nyingine ni kusema "mwongo baada" au "mwongo kabla" ya tukio fulani kwa mfano "Mwongo baada ya vita kuu ya pili" kwa kutaja miaka ya 1945-1955 baada ya mwisho wa vita kuu ya pili ya dunia.