Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.6.3) (roboti Nyongeza: sk:Jozafát Kuncevič
d r2.7.1) (roboti Ondoa: rw:Mutagatifu Yozafati
Mstari 44: Mstari 44:
[[ro:Iosafat Kuncevic]]
[[ro:Iosafat Kuncevic]]
[[ru:Иосафат (Кунцевич)]]
[[ru:Иосафат (Кунцевич)]]
[[rw:Mutagatifu Yozafati]]
[[sk:Jozafát Kuncevič]]
[[sk:Jozafát Kuncevič]]
[[sv:Josafat Kuncewycz]]
[[sv:Josafat Kuncewycz]]

Pitio la 16:43, 7 Aprili 2011

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (1580 hivi – 1623) alikuwa askofu wa Polotsk (leo nchini Belarus). Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 12 Novemba.

Maisha

Yosafat Kuntsevych (kwa Kibelarus Язафат Кунцэвіч, Jazafat Kuncevič) alizaliwa Wlodzimierz Wolynski katika mkoa wa Volinia (ulikuwa sehemu ya Lithuania, leo ni ya Ukraina) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya Waorthodoksi akaitwa Yohane katika ubatizo.

Baada ya kusoma Vilnius (Lithuania), mwaka 1604 alijiunga na Wakatoliki wa mashariki waliokubali mapatano ya muungano wa Brest yaliyoanzisha Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa mtakatifu Basili Mkuu kwa jina la Yosafat.

Alipata upadri, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na Kanisa Katoliki kwa jumla.

Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi huo wa pekee wa kanisa lake hadi mwaka 1623 alipouawa na Waorthodoksi waliopinga umoja huo.

Viungo vya nje

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.