Lugha za Kisemiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
nyongeza kidogo
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:lugha za Kisemiti.PNG|thumb|300px|Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti]]
[[Picha:lugha za Kisemiti.PNG|thumb|300px|Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti]]
'''Lugha za Kisemiti''' ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 katika [[Asia ya Magharibi]], [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Afrika ya Mashariki]]. Zahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.
'''Lugha za Kisemiti''' ni kundi la [[lugha]] zinazozungumzwa na watu milioni 300 hivi katika [[Asia ya Magharibi]], [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Afrika ya Mashariki]]. Zinahesabiwa kama tawi la [[lugha za Kiafrika-Kiasia]].


== Lugha za Kisemiti leo ==
== Lugha za Kisemiti leo ==
Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wako hasa Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:
Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wengi ni wale wanaotumia lugha za [[Ethiopia]] na [[Eritrea]] halafu [[Israel]. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:


* [[Kiarabu]] chajadiliwa kwa lahaja mbalimbali ikiwa Kiarabu sanifu ni pia lugha rasmi katika nchi nyingi za [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]] (wasemaji milioni 200-220)
* [[Kiarabu]] ambacho kinazungumzwa kwa [[lahaja]] mbalimbali, ikiwa Kiarabu sanifu ni pia [[lugha rasmi]] katika nchi nyingi za [[Afrika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]] (wasemaji milioni 200-220)
* [[Kiamhari]] ambayo ni lugha rasmi ya [[Ethiopia]] (wasemaji milioni 17)
* [[Kiamhari]] ambayo ni lugha rasmi ya [[Ethiopia]] (wasemaji milioni 17)
* [[Kitigrinya]] ambayo ni lugha rasmi katika [[Eritrea]] na jimlo la [[Tigray]] la Ethiopia. (wasemaji milioni 5)
* [[Kitigrinya]] ambayo ni lugha rasmi katika [[Eritrea]] na jimbo la [[Tigray]] nchini Ethiopia. (wasemaji milioni 5)
* [[Kiebrania]] ambayo ni lugha rasmi nchini [[Israel]] (wasemaji milioni 5)
* [[Kiebrania]] ambayo ni lugha rasmi nchini [[Israel]] (wasemaji milioni 5)
* [[Kiaramu]] kilichorudi nyuma sana lakini bado chajadiliwa katika [[Syria]], [[Irak]], [[Uturuki]] na [[Uajemi]] kwa lahaja mbalimbali. (bado takriban wasemaji 500,000 hadi milioni moja
* [[Kiaramu]] kilichorudi nyuma sana lakini bado kinatumika katika [[Syria]], [[Irak]], [[Uturuki]] na [[Uajemi]] kwa lahaja mbalimbali (kuna takriban wasemaji 500,000 hadi [[milioni]] moja
* [[Kimalta]] ambacho ni lugha ya Kisemiti ya pekee ya [[Ulaya]] ikiwa ni lugha rasmi nchini [[Malta]]. (wasemaji lakhi 3)
* [[Kimalta]] ambacho ni lugha ya Kisemiti ya pekee ya [[Ulaya]], ikiwa ni lugha rasmi nchini [[Malta]] (wasemaji [[laki]] 3)
* [[Lugha za Bara Arabu kusini]] zajadiliwa hasa katika [[Omani]] na [[Yemeni]]; ni lugha tofauti na Kiarabu chenyewe kuna bado wasemaji 300,000
* [[Lugha za Bara Arabu kusini]] zajadiliwa hasa katika [[Omani]] na [[Yemeni]]; ni lugha tofauti na Kiarabu chenyewe (kuna bado wasemaji 300,000)


== Lugha za kihistoria ==
== Lugha za kihistoria ==

Pitio la 12:56, 7 Aprili 2011

Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti

Lugha za Kisemiti ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 hivi katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zinahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.

Lugha za Kisemiti leo

Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wengi ni wale wanaotumia lugha za Ethiopia na Eritrea halafu [[Israel]. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:

Lugha za kihistoria

Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu, Finisia na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.