Lugha za Kisemiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kundi la lugha na si kundi ya lugha!
nyongeza kidogo
Mstari 14: Mstari 14:


== Lugha za kihistoria ==
== Lugha za kihistoria ==
Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za [[Babeli]], [[Ashur]], [[Kanaan]], [[Moabu]] na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika [[Biblia]].
Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za [[Babeli]], [[Ashur]], [[Kanaan]], [[Moabu]], [[Finisia]] na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika [[Biblia]].


[[Jamii:Lugha za Kisemiti|!]]
[[Jamii:Lugha za Kisemiti|!]]

Pitio la 11:42, 7 Aprili 2011

Maneneo penye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti

Lugha za Kisemiti ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.

Lugha za Kisemiti leo

Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wako hasa Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za kisemiti ni pamoja na:

Lugha za kihistoria

Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizi ni lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu, Finisia na kwa jumla lugha za mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.