Istanbul : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.5.1) (roboti Badiliko: rw:Istanbul
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ckb:ئەستەمبوڵ
Mstari 57: Mstari 57:
[[ca:Istanbul]]
[[ca:Istanbul]]
[[ceb:İstanbul]]
[[ceb:İstanbul]]
[[ckb:ئەستەمبوڵ]]
[[cs:Istanbul]]
[[cs:Istanbul]]
[[cv:Стамбул]]
[[cv:Стамбул]]

Pitio la 13:52, 4 Aprili 2011

Faili:Kizkulesi at night.jpg
Mnara wa Binti ni kati ya alama za Istanbul.

Istanbul ni mji mkubwa zaidi katika nchi ya Uturuki, ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya milioni 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya Ulaya. Huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa İstanbul.

Awali jiji hilo lilikuwa linajulikana kwa jina la Bizanti, mpaka Kaisari Konstantino alipopanua na kulipa jina lake mwenyewe Konstantinopoli (yaani mji wa Konstantino) (kwa Kituruki unatajwa İstanbul).

Zamani uliwahi kuwa mji mkuu wa Dola la Roma, halafu wa Dola la Osmani hadi mwaka 1923.

Kuwepo kwa bandari kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika Uturuki.

Mji wa Istanbul upo pande zote mbili za mlangobahari maarufu unaotenganisha bara la Asia na Ulaya.

Katika Ukristo ni muhimu kama makao ya Askofu wa pili kwa heshima kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na mitaguso mikuu ya karne ya 4.

Elimu

Mjini Istanbul kuna vyuo vikuu mbalimbali, baadhi yao:

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Istanbul kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA