Tofauti kati ya marekesbisho "Mahakama ya Kimataifa ya Jinai"

Jump to navigation Jump to search
den haag
(den haag)
 
==Kesi mbele yake==
Hadi 2011 mahakama imepokea malalamiko kuhusu kesi katika nchi 139; hadi Machi 2011 utafiti rasmi umefungulia kwa kesi 6, zote katika Afrika: [[Uganda]] Kaskazini, [[Jamhuri ya KidemokasiaKidemokrasia ya Kongo]], [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Darfur]] ([[Sudan]]), [[Kenya]] na [[Libya]]. Kesi tatu zilipelekwa na nchi ambazo ni wanachama wa ICC (Uganda, Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati), mbili na [[Baraza la Usalama la UM]] (Darfur na Libya) na moja kufuatana na azimio la mshtaki mkuu wa ICC (Kenya).
 
{{commonscat|ICC}}

Urambazaji