Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Links
Sahihisho
Mstari 17: Mstari 17:
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) za [[familia]] [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], kratesha na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) za [[familia]] [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==

Pitio la 15:17, 29 Juni 2007

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Botaurus Stephens, 1819

Ixobrychus Billberg, 1828
Tigriornis Sharpe, 1895
Tigrisoma Swainson, 1827
Zonerodius Salvadori, 1882

Spishi: Angalia katiba

Vumatiti ni ndege wakubwa wa jenasi kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) za familia Ardeidae wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

  • Botaurus lentiginosus (American Bittern)
  • Botaurus pinnatus (South American Bittern)
  • Botaurus poiciloptilus (Australasian Bittern)
  • Ixobrychus cinnamomeus (Cinnamon Bittern)
  • Ixobrychus eurhythmus (Schrenck's Bittern)
  • Ixobrychus exilis (Least Bittern)
  • Ixobrychus flavicollis (Black Bittern)
  • Ixobrychus involucris (Stripe-backed Bittern)
  • Ixobrychus sinensis (Yellow Bittern)
  • Tigrisoma fasciatum (Fasciated Tiger Heron)
  • Tigrisoma lineatum (Rufescent Tiger Heron)
  • Tigrisoma mexicanum (Bare-throated Tiger Heron)
  • Zonerodius heliosylus (New Guinea Tiger Heron)

Picha