Tofauti kati ya marekesbisho "Mahakama ya Kimataifa ya Jinai"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: la:Iudicium Internationale Criminale)
[[Picha:Omar al-Bashir, 12th AU Summit, 090131-N-0506A-342.jpg|thumb|right|Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur]]
 
'''Mahakama ya Kimataifa ya Jinai''' ([[Kifaransa]]: ''Cour Pénale Internationale''; [[Kiing.]] '''International Criminal Court''' ambayo kawaida hujulikana kama '''ICC''' au '''ICCt''' ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa [[mauaji ya kimbari]], hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)
 
==Msingi wa ICC==
Mahakama haya yaliundwa mnamo tarehe Mosi Julai, mwaka wa 2000 - tarehe ambapo Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ulipata nguvu za kisheria.
 
Kufikia mwaka wa 2010, nchi 110 ni wanachama wa mahakama hayo, na nchi zingine 38 zimetia sahini lakini hazijapitisha kisheria Mkataba wa Roma. Hata hivyo, mataifa mengi, ikiwemo [[Uchina]], [[Uhindi]], [[Urusi]] na [[Marekani]] zinazidi kuyakosoa mahakama hayo na hazijajiunga nayo.
 
==Kesi mbele yake==
Hadi 2011 mahakama imepokea malalamiko kuhusu kesi katika nchi 139; hadi Machi 2011 utafiti rasmi umefungulia kwa kesi 6, zote katika Afrika: [[Uganda]] Kaskazini, [[Jamhuri ya Kidemokasia ya Kongo]], [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Darfur]] ([[Sudan]]), [[Kenya]] na [[Libya]]. Kesi tatu zilipelekwa na nchi ambazo ni wanachama wa ICC (Uganda, Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati), mbili na [[Baraza la Usalama la UM]] (Darfur na Libya) na moja kufuatana na azimio la mshtaki mkuu wa ICC (Kenya).
 
{{commonscat|ICC}}

Urambazaji