Rukia yaliyomo

Mikoa ya Uholanzi : Tofauti kati ya masahihisho

No change in size ,  miaka 12 iliyopita
mpangilo
No edit summary
(mpangilo)
'''Mikoa ya Uholanzi''' ni ngazi ya utawala kati ya serikali ya kitaifa na [[manisipaa]] au kata. [[Uholanzi]] hugawiwa kwa mikoa 12 (''provincies'' kwa [[Kiholanzi]]).
 
==Muundo na madaraka ya utawala==
Kila mkoa unatekeleza wajibu zinazokabidhiwa kwake na serikali kuu. Mkoa huwa na [[bunge]] ya kimkoa inayoitwa "Provinciale Staten", halafu kamati ya utendaji ya "Gedeputeerde Staten" inayosimamiwa na "Commissaris van de Koningin" au kamishna wa malkia anayeteuliwa na serikali ya kitaifa kwa niaba ya malkia.
 
Hata kama kila [[mkoa]] huwa na bunge na kamati ya [[serikali]] haiwezi kuitwa "[[jimbo]]" kwa sababu madaraka yake si makubwa. Serikali ya kitaifa ina haki ya kubadilisha mikoa lakini mipaka imekaa vile tangu karne ya 19.
 
Mkoa unasimamia hasa kazi ya manisipaa na kata halafu shughuli za hifadhi mazingira, ustawi wa jamii na utamaduni kwa eneo lake. Katika wajibu hizi inapaswa kufuata masharti yanayotolewa na wizara za serikali kuu. Pesa yake inapokea kutoka makisio ya kitaifa lakini ina haki ya kuamua kimkoa juu ya kodi ya magari.
== Mikoa ==
Mikoa 12 inaorodheshwa hapo chini pamoja na miji penye makao makuu:
 
== Viungo vya Nje ==