Arno Penzias : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 11: Mstari 11:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[bn:আরনো এলান পেনজিয়াস]]
[[ca:Arno Allan Penzias]]
[[ca:Arno Allan Penzias]]
[[de:Arno Penzias]]
[[de:Arno Penzias]]

Pitio la 21:17, 27 Juni 2007

Arno Allan Penzias (amezaliwa 26 Aprili, 1933) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Alizaliwa nchini Ujerumani. Hasa alichunguza mnururisho wa nyota. Mwaka wa 1978, pamoja na Robert Woodrow Wilson na Pyotr Kapitsa alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.