1985 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Ondoa: tt:1985 |
|||
Mstari 168: | Mstari 168: | ||
[[tpi:1985]] |
[[tpi:1985]] |
||
[[tr:1985]] |
[[tr:1985]] |
||
[[tt:1985]] |
|||
[[ty:1985]] |
[[ty:1985]] |
||
[[udm:1985 ар]] |
[[udm:1985 ар]] |
Pitio la 18:19, 24 Machi 2011
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1981 |
1982 |
1983 |
1984 |
1985
| 1986
| 1987
| 1988
| 1989
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1985 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 1985 - Shirika la Bidhaa Pepe Huru lilianzishwa na Richard Stallman kutoka nchi ya Marekani
Waliozaliwa
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 2 Februari - Dennis Oliech, mchezaji wa mpira kutoka Kenya
- 7 Februari - Tegan Moss, mwigizaji kutoka Kanada
- 9 Februari - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo
- 17 Februari - Anne Curtis, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino na Australia
- 6 Mei - Faraja Kotta, Mrembo wa Tanzania mwaka wa 2004
- 4 Agosti - Antonio Valencia, mchezaji mpira kutoka Ekwador
- 31 Agosti - Eddie Anaclet, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 14 Novemba - Thomas Vermaelen, mchezaji mpira wa Ubelgiji
- 29 Desemba - Kassim Bizimana, mchezaji mpira kutoka Burundi
Waliofariki
- 16 Julai - Heinrich Boll (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1972)
- 31 Agosti - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 6 Septemba - Rodney Porter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 8 Septemba - John Enders (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 9 Septemba - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
- 1 Oktoba – Elwyn Brooks White (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1978)
- 10 Oktoba - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: