5 Julai : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: rue:5. юл |
d r2.6.4) (roboti Ondoa: ksh:5. Juuli |
||
Mstari 84: | Mstari 84: | ||
[[ko:7월 5일]] |
[[ko:7월 5일]] |
||
[[krc:5 июль]] |
[[krc:5 июль]] |
||
[[ksh:5. Juuli]] |
|||
[[ku:5'ê tîrmehê]] |
[[ku:5'ê tîrmehê]] |
||
[[la:5 Iulii]] |
[[la:5 Iulii]] |
Pitio la 17:07, 21 Machi 2011
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1962 - Nchi ya Algeria inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1975 - Visiwa vya Cabo Verde vinapata uhuru kutoka Ureno.
Waliozaliwa
- 1888 - Herbert Spencer Gasser (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1944)
- 1891 - John Howard Northrop (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 1981 - Ambwene Yessayah, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
- 1927 - Albrecht Kossel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1910)
- 1966 - Georg von Hevesy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1943)
- 1969 - Tom Mboya, mwanasiasa wa Kenya, aliuawa