Qatar : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ss:IKhathari
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: kbd:Катар
Mstari 155: Mstari 155:
[[jv:Qatar]]
[[jv:Qatar]]
[[ka:კატარი]]
[[ka:კატარი]]
[[kbd:Катар]]
[[kk:Қатар]]
[[kk:Қатар]]
[[kn:ಕಟಾರ್]]
[[kn:ಕಟಾರ್]]

Pitio la 11:58, 21 Machi 2011

Qatar

Qatar (Kiarabu: قطر ) ni utemi mdogo wa Uarabuni kwenye rasi ya Qatar ambayo ni sehemu ya rasi kubwa ya Uarabuni. Imepakana na Saudi Arabia upande wa kusini. Mipaka mingine ni ya Ghuba ya Uajemi. Kisiwa cha Bahrain kiko karibu.

Mji mkuu wa Qatar Doha.

Watu wa Qatar wenyewe ni Waarabu. Kiarabu ni lugha rasmi ya nchi lakini Kiingereza hutumiwa mara nyingi kwa mawasiliano ya biashara na ofisini.

Kati ya wakazi lakhi nane na nusu idadi kubwa sana si Waqatari wenyewe bali ni wafanyakazi kutoka nchi mbalimbali. Waqatari wenyewe ni Waislamu lakini wakazi kutoka nje hufuata dini mbalimbali.

Uchumi wote wa Qatar una msingi wa mafuta ya petroli na gesi yake.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Qatar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.

ak:Qatar