Kireno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: lad:Lingua portugeza
Mstari 56: Mstari 56:
[[bjn:Bahasa Paranggi]]
[[bjn:Bahasa Paranggi]]
[[bn:পর্তুগিজ ভাষা]]
[[bn:পর্তুগিজ ভাষা]]
[[bo:པོ་ཅུ་གྷལ་གྱི་སྐད།]]
[[br:Portugaleg]]
[[br:Portugaleg]]
[[bs:Portugalski jezik]]
[[bs:Portugalski jezik]]

Pitio la 15:58, 20 Machi 2011

Nchi penye Kireno kama lugha rasmi

Kireno (Português - tamka "purtuGESH") ni lugha ya lugha ya Kirumi iliyotokea nchini Ureno (Ulaya). Imekuwa lugha ya kimataifa kutokana na historia ya ukoloni ya Ureno yenye wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 190, pamoja na wasemaji wa lugha ya pili kuna watu milioni 200 duniani wanaoelewana kwa Kireno.

Kutokana na historia ya ukoloni Kireno limepatikana katika nchi zifuatazo:

Kireno kama lugha rasmi:

Kieneo

Historia ya lugha

Kireno ni moja kati ya lugha za Kirumi maana yake kimetokana na Kilatini cha Dola la Roma lililotawala eneo la Ureno kwa karne nyingi.

Ni karibu hasa na Kigalicia kinachozungumzwa katika Hispania ya Kaskazini.

Wareno waliacha lugha yao katika koloni zao. Leo hii idadi ya wasemaji katika Ureno ni milioni 10 tu - idadi kubwa kabisa wako nje ya Ureno hasa Brazil.

Ureno ilisambaa zaidi katika karne ya 20 kwa sababu Wareno waliondoka Ureno kutafuta kazi katika nchi nyingi za Ulaya. Vilevile kuna Wabrazil na Waangola waliotoka kwao kuhamia penginepo wakienda na lugha yao.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireno kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA