Chui (Pantherinae) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: en:Pantherinae; cosmetic changes
Mstari 25: Mstari 25:


== Spishi za mabara mengine ==
== Spishi za mabara mengine ==
* ''Neofelis diardi'', [[Chui wa Sunda]] ([[w:Sunda Clouded Leopard|Sunda Clouded Leopard]])
* ''Neofelis diardi'', [[Chui-mawingu wa Sunda]] ([[w:Sunda Clouded Leopard|Sunda Clouded Leopard]])
* ''Neofelis nebulosa'', [[Chui Madoa-mawingu]] ([[w:Clouded Leopard|Clouded Leopard]])
* ''Neofelis nebulosa'', [[Chui-mawingu]] ([[w:Clouded Leopard|Clouded Leopard]])
* ''Panthera onca'', [[Chui wa Amerika]] au Jagwa ([[w:Jaguar|Jaguar]])
* ''Panthera onca'', [[Chui wa Amerika]] au Jagwa ([[w:Jaguar|Jaguar]])
* ''Panthera pardus'', [[Chui]] ([[w:Leopard|Leopard]])
* ''Panthera pardus'', [[Chui]] ([[w:Leopard|Leopard]])

Pitio la 06:39, 20 Machi 2011

Chui
Chui-theluji
Chui-theluji
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbuai)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui)
Ngazi za chini

Jenasi 2:

Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja (simba), wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine zinatokea savana na hata milima.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha