Tanganyika African National Union : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanzania kupata uhuru wake. Katiba ya Taifa ya mw.1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa.

Mwaka 1977 TANU ilivunjwa; kwa kuungana na Chama cha Afro-Shirazi ya Zanzibar chama kipya cha CCM (Chama cha Mapinduzi) kiliundwa.
Mwaka 1977 TANU ilivunjwa; kwa kuungana na Chama cha Afro-Shirazi ya Zanzibar chama kipya cha [[CCM]] ([[Chama cha Mapinduzi]]) kiliundwa.

Pitio la 01:15, 29 Desemba 2005

Tanganyika African National Union (TANU) ilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi maungano yake na Chama cha Afro-Shirazi ya Zanzibar kuwa Chama cha Mapinduzi.

TANU ilianzishwa 07.07.1954 kutokana na Tanganyika African Association (TAA). TAA ilikuwa shirika ya kiutamaduni si ya kisiasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage Nyerere.