Ilias : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: be:Іліяда
d r2.6.4) (roboti Badiliko: tr:İlyada
Mstari 110: Mstari 110:
[[th:อีเลียด]]
[[th:อีเลียด]]
[[tl:Iliada]]
[[tl:Iliada]]
[[tr:İliada]]
[[tr:İlyada]]
[[uk:Іліада]]
[[uk:Іліада]]
[[vi:Iliad]]
[[vi:Iliad]]

Pitio la 14:08, 9 Machi 2011

Achilles anamsaidia Patroklos mjeruhiwa
Aya ya kwanza ya Iliadi
Ramani ya Ugiriki ya Kale zamani za Homer

Ilias au Iliadi (Kigiriki Ἰλιάς ilias, jina mbadala la mji wa Troya) ni utenzi wa kale na mfano wa kwanza wa fasihi andishi ya utamaduni wa Ugiriki ya Kale. Ilitungwa kama tenzi wa fasihi simulizi na kuandikwa mnamo karne ya 8 KK ikiwa na nyimbo au sehemu kubwa 24.

Utenzi huu inasimulia matukio ya vita ya Troya pamoja na habari za mashujaa zake pande mbili za vita hii. Inakusanya pia habari nyingi za miungi ya Ugiriki. Anayetajwa kama mwandishi ni mshairi Homer hata kama wataalamu wa kisasa wanajadiliana huyu alikuwa nani na kama aliishi kweli.

Katika historia ndefu ya miaka 10 ya vita ya Troya Ilias inasimulia wiki za mwisho tu. Inaanza na hasira ya mungu Apollon kwa sababu ya tendo la Achilles kumteka binti wa kuhani wa mungu huyu na fitina kati ya mshujaa Achilles na mfalme Agamemnon inayofuata. Kutokana na fitna hii Achilles anagoma kushiriki katika vita tena na sasa Wagiriki hawawezi kushindana tena na Watroya. Wakati Wagiriki wanaelekea kushindwa Achilles anaudi vitani baada ya kuawa kwa rafiki yake Patroklos kwa mkono wa shujaa Mtroya Hektor. Anamwua Hektor na kuacha maiti yake kwa siku 12 kwenye mchanga. Mwishoni anatulia anamruhusu babake Hektor kumzika mwanawe.

Majina muhimu katika Ilias ni pamoja na Achilles, Odiseo, Agamemnon, Menelao, Priamo, Hektor, Paris na Helena.

Pamoja na utenzi mwingine wa Homer unaoitwa Odisei ni chanzo cha fasihi ya Ugiriki ya Kale.

Viungo va Nje

Kigezo:Wikiquote-en

  • Iliad, online version of the work by Homer (English). Pope translation.
  • Iliad in Ancient Greek: from the Perseus Project (PP), with the Murray and Butler translations and hyperlinks to mythological and grammatical commentary; via the Chicago Homer, with the Lattimore translation and markup indicating formulaic repetitions

Kigezo:Link FA