Tofauti kati ya marekesbisho "Michoro ya Kondoa"

Jump to navigation Jump to search
57 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
(nyongeza)
No edit summary
[[Picha:Kondoa.jpg|thumb|Mchoro mwambani.]]
 
'''Michoro ya Kondoa''' ni kundi la michoro kwenye kuta za mapango katika [[wilaya]] ya [[Kondoa]], [[mkoa]] wa [[Dodoma]] nchini [[Tanzania]]. Mapango au nusumapango haya zaidi ya 150 yanapatikana mfululizo kwenye vilima vinavyotazama mtelemko wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
 
Mapango au nusumapango haya zaidi ya 150 yanapatikana mfululizo kwenye vilima vinavyotazama mtelemko wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
Michoro hii inaonyesha picha za watu, wanayama na uwindaji. Hii inatazamiwa kama ushuhuda wa namna ya maisha ya wachoraji waliokuwa wavindaji hasa. Hakuna mapatano kama michoro hii ilikuwa sehemu ya ibada za kuomba mafanikio katika uwondaji au labda namna ya kusimulia habari za maisha haya au labda tu sanaa ya mapema bila makusudi. Aina nyingine za michoro zinaonyesha tu milia, duara au alama za kimsingi.
 
Michoro hii inaonyesha picha za watu, wanyama na uwindaji. Hii inatazamwa kutoa ushuhuda wa namna ya maisha ya wachoraji waliokuwa wawindaji hasa.
Wataalamu wengine huamini ya kwamba picha hizi zilichorwa tangu miaka 1500 iliyopita na jamii za wavidaji waliokalia eneo hili lakini wengine husema inaewezekana ni za kizee zaidi labda hata miaka 10,000. Michoro inafanana na michoro kwenye mwamba inayopatikana katika [[Afrika ya Kusini]] na pia katika milima ya [[Sahara]]. Kuna dalili ya kwamba sehemu yao ilichorwa na mababu wa [[Wasandawe]] na [[Wahadzabe]] wa leo waliohifadhi desturi za kuchora mwambani hadi miaka ya nyuma na ambao pia walikuwa wavindaji hadi juzi.
 
Hakuna mapatano kama michoro hii ilikuwa sehemu ya [[ibada]] za kuomba mafanikio katika [[uwindaji]] au labda ilikuwa namna ya kusimulia habari za maisha haya au labda tu [[sanaa]] ya awali bila ya makusudi.
 
Aina nyingine za michoro zinaonyesha tu [[milia]], [[duara]] au alama za kimsingi.
 
Wataalamu wengine huamini ya kwamba picha hizi zilichorwa tangu miaka 1500 iliyopita na jamii za wawindaji waliokalia eneo hili, lakini wengine husema inaewezekana ni za zamani zaidi, labda hata miaka 10,000.
 
Michoro inafanana na michoro kwenye [[mwamba]] inayopatikana katika [[Afrika ya Kusini]] na katika milima ya [[Sahara]].
 
Kuna dalili ya kwamba sehemu ilichorwa na mababu wa [[Wasandawe]] na [[Wahadzabe]] wa leo, ambao walihifadhi [[desturi]] ya kuchora mwambani hadi miaka ya karibuni na walikuwa wawindaji hadi juzijuzi.
 
Mwaka [[2006]] eneo hilo liliingizwa katika orodha ya [[Urithi wa dunia]].
 
Mahali pazuri pa kuangalia michoro kadhaa kwa urahisi ni [[kijiji]] cha [[Kolo]] kilichopo kwenye [[barabara kuu]] kati ya [[Babati (mji)|Babati]] na [[Kondoa (mji)|Kondoa]]. Kutoka hapo si mbali hadi sehemu kadhaa penye michoro. Wageni wakatakiwa kujiandikisha kwenye kituo cha hifadhi ya mambo ya kale katika kijiji.
 
==Viungo vya nje==

Urambazaji