Michoro ya Kondoa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
*[http://whc.unesco.org/en/list/1183 Taarifa kutoka UNESCO]
*[http://whc.unesco.org/en/list/1183 Taarifa kutoka UNESCO]


[[Category:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Afrika]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]
[[Jamii:Usanii wa Tanzania]]
[[Jamii:Usanii wa Tanzania]]

Pitio la 11:02, 5 Machi 2011

Faili:Kondoa.jpg
Mchoro mwambani.

Michoro ya Kondoa inapatikana katika mfululizo wa mapango zaidi ya 150 upande wa kilima kinachokabili mbuga ya Bonde la Ufa katika wilaya ya Kondoa, mkoa wa Dodoma nchini Tanzania.

Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.

Michoro hiyo inaonyesha mabadiliko ya utamaduni wa wenyeji, kutoka uchumi wa uwindaji kwenda ule wa ufugaji na kilimo, pamoja na mabadiliko upande wa dini.

Mwaka 2006 eneo hilo liliingizwa katika orodha ya Urithi wa dunia.

Viungo vya nje