Michelangelo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: rue:Мікеланджело
d The file Image:Michelangelo_Buonarroti_046.jpg has been replaced by Image:Michelangelo_Buonarroti_-_Tondo_Doni_-_Google_Art_Project.jpg by administrator commons:User:Dcoetzee: ''Higher resolution, quality''. ''[[m:User:CommonsDelinker|
Mstari 11: Mstari 11:
Image:Michelangelo Buonarroti 045.jpg|Yesu awekwa kaburini, mafuta juu ya ubao, 161 × 149 cm
Image:Michelangelo Buonarroti 045.jpg|Yesu awekwa kaburini, mafuta juu ya ubao, 161 × 149 cm
Image:Martyrdom Michelangelo.jpg|''Mateso ya Mt. Petro'', kanisa Paolina - [[Vatikano]].
Image:Martyrdom Michelangelo.jpg|''Mateso ya Mt. Petro'', kanisa Paolina - [[Vatikano]].
Image:Michelangelo_Buonarroti_046.jpg|''Familia Takatifu na mtoto Yesu'' (Iko Firenze)
Image:Michelangelo_Buonarroti_-_Tondo_Doni_-_Google_Art_Project.jpg|''Familia Takatifu na mtoto Yesu'' (Iko Firenze)
Image:Michelangelo's Pieta 5450 cropncleaned.jpg|[[Pietà]] (Huzuni ya Mariamu na maiti ya Yesu) ya Michelangelo [[Kanisa Kuu la Mt. Petro]] katika Vatikano.
Image:Michelangelo's Pieta 5450 cropncleaned.jpg|[[Pietà]] (Huzuni ya Mariamu na maiti ya Yesu) ya Michelangelo [[Kanisa Kuu la Mt. Petro]] katika Vatikano.
Image:Dying slave Louvre MR 1590 n2.jpg|''Mtumwa anayekufa''
Image:Dying slave Louvre MR 1590 n2.jpg|''Mtumwa anayekufa''

Pitio la 01:36, 27 Februari 2011

Sanamu ya Daudi na Michelangelo
Picha ya Hukumu ya Mwisho kwenye ukuta wa kanisa la sistina (Roma)

Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni (6 Machi 1475 - 18 Machi 1564) alikuwa msanii nchini Italia aliye maarufu kama mchongaji, mchoraji, msanifu majengo na mshairi. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa zama ya mwamko.

Kati ya kazi zake maarufu ni sanamu ya kijana Daudi na picha za ukutani wa Kanisa la Sistina mjini Roma alilopamba kwa hadithi na watu wa Biblia.

Kati ya kazi zake maaraufu kama msanifu majengo ni hasa kubba ya Kanisa Kuu la Mt. Petro kwenye Vatikano mjini Roma.

Picha

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michelangelo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA