d Aliulinda "Mtumiaji:Baba Tabita": Uharabu kupindukia: Ushenzi na tabia ambazo si za kiungwana - kuchezea ukurasa wa mtu. ([edit=autoconfirmed] (bila mwisho) [move=autoconfirmed] (bila mwisho))
ILANI: Kwa muda kadhaa kuanzia sasa nitakuwa na kazi nyingi mno mpaka sitaweza kuingia hapa mara nyingi. Poleni na usumbufu! --Baba Tabita (majadiliano) 14:49, 15 Agosti 2010 (UTC)
Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi.
Baba Tabita
Mtumiaji huyu ana tovuti ambayo inaweza kupatikanika hapa.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhaririWikipedia.
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa Baba Tabita kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
Nimetoka Ujerumani lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa kiisimu, na lengo langu ni kukuza matumizi ya lugha za Tanzania. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya Kiswahili.
Ingawa nimechaguliwa kuwa bureaucrat wa wikipedia mwezi wa Februari 2008, kazi yangu hunisafirisha mara kwa mara kwenda maeneo ambako hakuna mtandao hata kidogo. Nisiposafiri najitahidi kuingia kwenye wikipedia yetu angalao mara moja kwa juma. Nikiwa kimya kwa majuma kadhaa, naomba mnivumilie. Asanteni!