Elki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: en:Moose
d r2.7.1) (roboti Badiliko: fr:Alces alces
Mstari 45: Mstari 45:
[[fi:Hirvi]]
[[fi:Hirvi]]
[[fo:Elgur]]
[[fo:Elgur]]
[[fr:Élan]]
[[fr:Alces alces]]
[[gl:Alce]]
[[gl:Alce]]
[[he:אייל קורא]]
[[he:אייל קורא]]

Pitio la 09:03, 4 Februari 2011

Mbawala Mkubwa
Mbawala Mkubwa (Alces alces)
Mbawala Mkubwa (Alces alces)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Artiodactyla (Mamalia wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili)
Familia: Cervidae (Wanyama walio na mnasaba na kulungu)
Nusufamilia: Capreolinae (Wanyama wanaofanana na mbawala)
Jenasi: Alces
Spishi: A. alces

Mbawala Mkubwa (Alces alces) ni mnyama wa Nusudunia ya Kaskazini mwenye kichwa kirefu wa familia Cervidae. Dume wa spishi hii wana pembe kubwa.