Kibarabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Nyongeza familia ya juu
Mabadiliko kadhaa
Mstari 19: Mstari 19:
''[[Rowettia]]'' <small>[[Percy Lowe|Lowe]], 1923</small>
''[[Rowettia]]'' <small>[[Percy Lowe|Lowe]], 1923</small>
}}
}}
'''Vibarabara''' ni [[ndege]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Emberizidae]]. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe la pekee kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Ulaya, Asia na Afrika. Spishi nyingine za familia hii zinatokea [[Amerika]].
'''Vibarabara''' ni [[ndege]] wadogo wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Emberizidae]]. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea [[Afrika]], [[Asia]] na [[Ulaya]]. Spishi nyingine za familia hii zinatokea [[Amerika]]. Vibarabara hula [[mbegu]] lakini hulisha makinda [[mdudu|wadudu]]. Hulijenga tago lao kwa [[nyasi|manyasi]] na nyuzinyuzi ardhini au katika [[kichaka]] kifupi. Jike huyataga [[yai|mayai]] 3-5.


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==

Pitio la 19:35, 30 Januari 2011

Kibarabara
Kibarabara-kaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Emberizidae (Ndege walio na mnasaba na vibarabara)
Jenasi: Emberiza Linnaeus, 1758

Latoucheornis Bangs, 1931
Melophus Swainson, 1837
Miliaria Brehm, 1831
Nesospiza Cabanis, 1873
Plectrophenax Stejneger, 1882 Rowettia Lowe, 1923

Vibarabara ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. Vibarabara hula mbegu lakini hulisha makinda wadudu. Hulijenga tago lao kwa manyasi na nyuzinyuzi ardhini au katika kichaka kifupi. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi za Afrika

Spishi za Ulaya na Asia

Picha