Bahari ya Adria : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: hy:Ադրիատիկ ծով
Mstari 52: Mstari 52:
[[hsb:Adrija]]
[[hsb:Adrija]]
[[hu:Adriai-tenger]]
[[hu:Adriai-tenger]]
[[hy:Ադրիատիկ ծով]]
[[id:Laut Adriatik]]
[[id:Laut Adriatik]]
[[io:Adriatiko]]
[[io:Adriatiko]]

Pitio la 19:08, 24 Januari 2011

Bahari ya Adria jinsi inavyoonekana kutoka angani
Ramani ya Adria

Bahari ya Adria au kwa kifupi "Adria" ni ghuba ya Mediteranea kati ya Rasi ya Italia na Rasi ya Balkani. i

Nchi zinazopakana nayo ni Italia, Slovenia, Kroatia, Bosnia na Herzegovina, Montenegro na Albania.

Adria huelekea kaskazini magharibi kutoka 40°N hadi 45° 45' N.. Urefu wake ni km 770 km na upana waka kwa wastani ni km 160. Sehemu nyembamba ni mlango wa Ortranto mwenye upana wa km 85. Eeno lake ni mnamo km² 160,000.

Mwambao wa kaskazini una visiwa vingi hasa mbele ya pwani la Kroatia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahari ya Adria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.