22 Julai : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d [r2.6.4] roboti Nyongeza: kl:Juuli 22 |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: hy:Հուլիսի 22, krc:22 июль |
||
Mstari 71: | Mstari 71: | ||
[[ht:22 jiyè]] |
[[ht:22 jiyè]] |
||
[[hu:Július 22.]] |
[[hu:Július 22.]] |
||
[[hy:Հուլիսի 22]] |
|||
[[ia:22 de julio]] |
[[ia:22 de julio]] |
||
[[id:22 Juli]] |
[[id:22 Juli]] |
||
Mstari 85: | Mstari 86: | ||
[[kn:ಜುಲೈ ೨೨]] |
[[kn:ಜುಲೈ ೨೨]] |
||
[[ko:7월 22일]] |
[[ko:7월 22일]] |
||
[[krc:22 июль]] |
|||
[[ksh:22. Juuli]] |
[[ksh:22. Juuli]] |
||
[[ku:22'ê tîrmehê]] |
[[ku:22'ê tîrmehê]] |
Pitio la 06:59, 24 Januari 2011
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wanahisabati kadhaa duniani husheherekea sikukuu ya Π (tamka: pi) kwa sababu tarehe hii inaweza kuandikwa pia kama 22/7 ambayo ni chamkano cha karibu na namba Π.
Matukio
Waliozaliwa
- 1831 - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)
- 1887 - Gustav Hertz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1925)
- 1888 - Selman Waksman (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1952)
- 1899 - Sobhuza II, mfalme wa Uswazi
- 1966 - Erick Keter, mwanariadha kutoka Kenya
- 1974 - Franka Potente, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
Waliofariki
- 1676 - Papa Klementi X
- 1908 - Randal Cremer (kiongozi Mwingereza wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1903)
- 1967 - Carl Sandburg, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1996 - Vermont Royster, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 2003 - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya