Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika Tanzania kazkazini-mashariki.
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki.


'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania.
'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania.
Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa Meru (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.
Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.


Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961.
Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961.

Pitio la 17:17, 17 Desemba 2005

Arusha, mkoa (Mkoa wa Arusha), wilaya na mji katika Tanzania kazkazini-mashariki.

Mji wa Arusha ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa Meru (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.

Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961. Mw. 1967 chama tawala cha TANU kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha Ujamaa. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi kuanguka kwa umoja huu. Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo. Arusha ni makao makuu ya KKKT, ambayo ni ofisi kuu ya Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania.

Viungo vya Nje

[[1]] - Picha ya Arusha

[[2]] - Historia ya Arusha