Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
tafsiri ya makala
kuswahilisha
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:CompassRose16_N.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha kaskazini katika hali ya mkoozo]]
[[Picha:CompassRose16_N.png|thumb|250px|right|Alama za dira zikionyesha kaskazini katika hali ya mkoozo]]
'''Kaskazini''' ni moja kati ya mielekeo minne katika [[dira]]. Kaskazini kawaida huwa juu zaidi katika ramani. [[Kanada]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Marekani]], [[Venezuela]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Brazil]], na [[Urusi]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[India]]. [[North Pole]] ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.
'''Kaskazini''' ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya [[dira]]. Mwelekeo wake ni [[ncha ya kaskazini]] ya dunia.

Jina "kaskazini" limetokana na neno la Kiarabu "قيظ qiz" joto na "قيظ قائظ qiz qaez" hali ya hewa lenye joto sana; kutoka sehemu za Zanzibar au Uswahilini kwenda kaskazini kuelekea Somalia joto linaongezeka sana; upepo wa joto latokea huko.

Kaskazini kawaida huwa juu zaidi kwenye ramani. [[Kanada]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Marekani]], [[Venezuela]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[Brazil]], na [[Urusi]] ipo kaskazini mwa nchi ya [[India]]. Ncha ya kaskazini ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==

Pitio la 22:39, 18 Januari 2011

Alama za dira zikionyesha kaskazini katika hali ya mkoozo

Kaskazini ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni ncha ya kaskazini ya dunia.

Jina "kaskazini" limetokana na neno la Kiarabu "قيظ qiz" joto na "قيظ قائظ qiz qaez" hali ya hewa lenye joto sana; kutoka sehemu za Zanzibar au Uswahilini kwenda kaskazini kuelekea Somalia joto linaongezeka sana; upepo wa joto latokea huko.

Kaskazini kawaida huwa juu zaidi kwenye ramani. Kanada ipo kaskazini mwa nchi ya Marekani, Venezuela ipo kaskazini mwa nchi ya Brazil, na Urusi ipo kaskazini mwa nchi ya India. Ncha ya kaskazini ni kaskazini ya mbali unayoweza kwenda.

Tazama pia

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.