Kiajemi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ce:Persidhoyn mott
d roboti Badiliko: roa-tara:Lènga persiane
Mstari 97: Mstari 97:
[[qu:Pharsi simi]]
[[qu:Pharsi simi]]
[[ro:Limba persană]]
[[ro:Limba persană]]
[[roa-tara:Lènga Persiane]]
[[roa-tara:Lènga persiane]]
[[ru:Персидский язык]]
[[ru:Персидский язык]]
[[sco:Persie leid]]
[[sco:Persie leid]]

Pitio la 09:26, 17 Januari 2011

Kiajemi au Farsi (فارسی) ni lugha ya kitaifa ya Uajemi. Ni kati ya lugha za Kihindi-Kiajemi za lugha za Kihindi-kiulaya. Inatumiwa hasa katika nchi zifuatazo:

Kuna wasemaji wa lugha ya kwanza milioni 70, na takriban wasemaji wengine milioni 60 kama lugha ya pili.

  • Katika Afghanistan penye wasemaji takriban milioni 15 lugha inaitwa "dari" (درى).
  • Katika Tajikistani penye wasemaji milioni 15 pia lugha inaitwa "Kitajiki".

Kiajemi ilikuwa na athira kubwa juu ya lugha mbalimbali hasa Kiarabu na Kituruki.

Kutokana na uhamiaji wa karne ya 29 lugha imepatikana katika nchi nyingi za dunia. Inaandikwa kwa herufi za Kiarabu.

Viungo vya nje