Kitabu cha Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Nahum
d roboti Nyongeza: eo:Libro de Naĥum
Mstari 33: Mstari 33:
[[de:Nahum]]
[[de:Nahum]]
[[en:Book of Nahum]]
[[en:Book of Nahum]]
[[eo:Libro de Naĥum]]
[[es:Libro de Nahum]]
[[es:Libro de Nahum]]
[[fi:Nahumin kirja]]
[[fi:Nahumin kirja]]

Pitio la 13:41, 16 Januari 2011

Kitabu cha Nahum (kwa Kiebrania נחום) ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya gombo la Manabii wadogo katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) na kwa hiyo pia katika Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kimo katika .

Muda

Kitarehe kinashika nafasi kati ya kile cha Mika nakile cha Habakuki.

Mada

Kinashangilia ujio wa maangamizi ya dola la Waashuru na ya makao yao makuu, Ninawi (612 a.C.) kwa ufasaha wa kishairi. Adui wa taifa na wa Mungu hatimaye ataadhibiwa.

Mtunzi

Mtunzi anadhaniwa kuwa nabii wa Yerusalemu wakati wa mfalme Yosia wa Yuda.

Ufafanuzi

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Viungo vya Nje

Kitabu cha Nahumu katika tafsiri ya Kiswahili (Union Version)

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.