Tofauti kati ya marekesbisho "Nishati"

Jump to navigation Jump to search
410 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
no edit summary
(New page: '''Nishati''' ==Ufafanuzi== Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika. Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi ingine ama pia kubadili hali ya...)
 
'''Nishati'''
 
Neno lenye maana ya nguvu ya uzalishaji katika maisha ya mwanadamu, dunia na ulimwengu kwa ujumla.
 
Katika sayansi lina mtizamo wa kipekee.
 
[[Image:Radi ikipiga juu ya Oradea Romania 2.jpg|thumb|right|258px|[[Lightning]] ni uvunjiko wa nguvu za kiumeme katika hewa kutokana na uwindi umeme mkali(kutoka nishati uweza kiumeme na kuwa nishati ya kimakanika ya mwendo hovyo wa kimolekyuli([[Joto]]), na kuwa nuru).]]
 
==Ufafanuzi==
 
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika.
 
 
Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi ingine ama pia kubadili hali ya kimaumbile na nafasi. Kwa mfano, kusogeza kiti ni kazi inayojidhirisha kwa kuhamisha kiti toka nukta moja hadi ingine.
 
Kizio cha kazi ni ''Juli''.
 
 
Thathmini ya kihesabu ya kazi kulingana na nishati kifizikia hukokotolewa kwa thamani ya ''Juli'' na kadhaa.
 
Hujidhihirisha katika sura mbili na kutathminiwa hivi:
 
 
*Nishati Uweza
 
'''Nishati Uweza'''
 
 
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi ama kuleta zao fulani la kikazi katika wakati ambao tukio halisi halijatendeka. K.m. jiwe juu ya kigingi cha mlima kabla halijadondoka lina tathmini ya uwezo wa nguvukazi sawa na mara litakapofika chini wakati wa kudondoka.
 
'''Nishati Mwendeko'''
 
 
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi endelevu kiwakati. K.m. Jiwe lililorushwa lina nguvukazi alhali likipea.
 
Hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni Baadhi yake:-
 
 
*[[Umeme]]
 
==Makundi ya Nishati==
 
 
Nishati kuwekwa katika makundi kulingana na matumizi ya mwanadamu na ukubwa wa uhitaji wake katika sura ya kijamii halafu pia na aina ya matumizi.
117

edits

Urambazaji