Ubao : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
'''Ubao''' ni dutu inayofanya gogo na matawi ya [[mti]]. Ina matumizi muhimu kwa [[ujenzi]] na vifaa pia kama [[kuni]] kwa [[moto]].
Fuck a Duck. Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kama kuni na fimbo la [[silaha]]. Baadaye watu walijifunza kuchonga ubao kwa matumizi mbalimbali kama vile [[ujenzi]], vifaa, sanaa, [[karatasi]] na mengi mengine. ▼
▲Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kama kuni na fimbo la [[silaha]]. Baadaye watu walijifunza kuchonga ubao kwa matumizi mbalimbali kama vile [[ujenzi]], vifaa, sanaa, [[karatasi]] na mengi mengine.
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua.
|