Mstari mnyoofu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: bn:রেখা
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: eu:Zuzen (geometria)
Mstari 28: Mstari 28:
[[es:Recta]]
[[es:Recta]]
[[et:Sirge]]
[[et:Sirge]]
[[eu:Zuzen (geometria)]]
[[fa:خط (هندسه)]]
[[fa:خط (هندسه)]]
[[fi:Suora]]
[[fi:Suora]]

Pitio la 01:08, 10 Januari 2011

Mistari minyoofu katika mfumo majira

Mstari mnyoofu (pia: Mstari ulionyooka) ni hoja la kijiometria. Katika tambarare mstari mnyoofu ni njia fupi kati ya nukta mbili inayoendelea kila upande bila badiliko la mwelekeo. Hauna mwisho au mwanzo wala upana au unene.

Kwa lugha nyingine ni jumla ya nukta zote zilizopo kwenye njia hiyo.

Tena kwa lugha nyingine ni mwelekeo wa nukta inayoelekea mahali bila kubadilisha mwelekeo huu.