Bahrain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.5.2) (roboti Nyongeza: ckb:بەحرەین
Mstari 205: Mstari 205:
[[roa-rup:Bahrein]]
[[roa-rup:Bahrein]]
[[ru:Бахрейн]]
[[ru:Бахрейн]]
[[rw:Bahirayini]]
[[sa:बहरैन]]
[[sa:बहरैन]]
[[sah:Баhрейн]]
[[sah:Баhрейн]]

Pitio la 09:48, 5 Januari 2011

Bahrain
Ramani ya visiwa vya Bahrain
Bahrain inyoonekana kutoka angani

Bahrain (Kiarabu: مملكة البحرين Mamlakat al-Baḥrayn, Ufalme wa Bahrain) ni nchi ya visiwa na ufalme mdogo katika Ghuba ya Uajemi karibu na pwani la Saudi Arabia.

Nchi ni tajiri kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.

Jiografia

Bahrain iko upande wa mashariki wa Bara Arabu.

Eneo lake ni visiwa 33. Vikubwa kati ya hivi ni:

  • Kisiwa kikuu cha Bahrain chenye urefu wa km 48 na upana wa km 16 kina 85% za eneo lote a ufalme ni mahali pa mji mkuu Manama. Kimeunganishwa kwa daraja na
  • kisiwa cha Muharraq (chenye 18 km²) penye uwanja wa ndege.
  • funguvisiwa ya Hawar (50 km²) karibu na pwani la Qatar.
  • kisiwa cha Umm Na'san (19 km²) kisicho na wakazi wa kudumu kwa sababu hakina maji; barabara inayounganisha Bahrain na Saudia kwa njia ya daraja inapita hapo.
  • kisiwa cha Sitra (10 km²) kimeunganishwa pia kwa daraja na kisiwa kikuu pana viwanda hapo.

Nchi ni tambarare; kilima cha juu ni Jabal ad-Dukhan chenye m 137 juu ya UB.

Sehemu kubwa ya eneo ni jangwa u lakini kaskazini ya kisiwa kikuu pana visima na kilimo cha bustani na mitende.

Uchumi

Uchumi wa Bahrain hutegemea hasa mafuta ya petroli yanayozalisha 30% ya pato la taifa na 60% za mapato yote ya serikali. Serikali imejitahidi kujenga matawi mengine ya uchumi hasa viwanda vinavyotumia mafuta kwa kutengeneza bidhaa za aina nyingi pamoja na biashara.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahrain kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.

ak:Bahrain