Daniel Arap Moi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Ona pia: kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
Mstari 81: Mstari 81:
[[pt:Daniel Toroitich arap Moi]]
[[pt:Daniel Toroitich arap Moi]]
[[ru:Мои, Даниэль арап]]
[[ru:Мои, Даниэль арап]]
[[rw:Daniel arap Moi]]
[[sl:Daniel arap Moi]]
[[sl:Daniel arap Moi]]
[[sv:Daniel arap Moi]]
[[sv:Daniel arap Moi]]

Pitio la 20:46, 2 Januari 2011

Rais Moi kwa kao rasmi ya Umoja wa Kimataifa mnamo Novemba 10, 2001.

Daniel Toroitich arap Moi (amezaliwa Septemba 2 1924) alikuwa Rais wa Kenya kutoka 1978 mpaka 2002.

Maisha na mwanzo wa siasa

Moi alizaliwa Sacho, wilaya ya Baringo, Mkoa wa bonde la Ufa, na alilewa na mamake Kimoi Chebii, kufuatia kuaga dunia mapema kwa babake. Baada ya Kumaliza masomo ya chuo cha pili cha Tambach, aliweza kujiunga na chuo cha ualimu mjini Kapsabet. Alifanya kazi kama mwalimu kutoka 1946 hadi 1955.

Mwaka wa 1955 Moi aliingia siasa akachaguliwa kwa kiti cha wanabaraza wa mkoa wa bonde la ufa. Mwaka wa 1960, Moi naRonald Ngala waliunda chama cha Kadu ambayo kwa kiswahili ni Muungano wa Demokrasia ya Waafrika wa Kenya kilichoshindana na (KANU) iliongozwa na Mzee Jomo Kenyatta. Lengo la KADU, lilikuwa kuhifadhi maslahi ya makabila madogo kama Wakalenjin kwa utalmaleki wa kabila kubwa kama waLuo na waKĩkũyũ, kabila ambazo zilikuwa na wingi kwa Muungano wa taifa wa waafrika wa kenya Kenyatta mwenyewe akiwa Mkĩkũyũ). KADU yenyewe ilitaka katiba ya Majimbo,na KANU yenyewe ilipendelea serikali ya muungano. KANU, ilikua kubwa na umma nakwa hivyo waingereza iliwapidi waache katiba ya majimbo.

Mwaka wa 1957, Moi alichaguliwa kwa baraza la bonde la ufa tena, na mwaka wa 1961 kwa baraza la bunge kwa kiti cha Baringo ya Kaskazini. Baadaye akawa Waziri wa Elimu kabla ya madaraka mwaka wa 1960–1961.

Makamu wa rais

Baada ya Kenya kupata Uhuru mnamo Desemba 12, 1963, Kenyatta kasadikisha Moi ya kwamba KADU na KANU ziungane pamoja kumaliza ukoloni. Kwa hivyo Kenya ikawa nchi ya chama kimoja, ikiimarishwa na muungano ya wengi Wakĩkũyũ-Waluo. Moi, aliweza kupanda cheo na kuwekwa waziri wa mambo ya ndani 1964, hasa kwa umuhimu wake kuleta faraja za watu wa bonde la ufa na jumla KADU kwa serikali ya umoja wa Taifa. Baadaye aliweza kupanda cheo zaidi akawa Makamu wa Rais mnamo 1967. Kama kiongozi kutoka kabila ndogo, alituliza makabila haya makubwa nchini Kenya.

Lakini, Moi alipingwa na wanamgambo wa kabila hizi kubwakubwa hasa Wakikuyu na Waluo. Hii ilileta watu na wanamgambo hao kujaribu kupendua katiba, kuzuia Makamu wa Rais kuchukua uongozi hasa Rais akiaga dunia. Hata kwa uzee na afia yake Kenyatta kudhoofika, aliwapinga wanamgambo hao, nakudumisha katiba na hivyo kuonyesha kambi hii ya faraja zake na Kambi ya faraja za Oginga Odinga kua amchagua Moi kama kiongozi ambaye atumaini amfuatilize kwa uongozi wa Kenya.

Urais wa Moi

Mzee Jomo Kenyatta alipoaga dunia Agosti 22, 1978 Moi, alichukua kiapo na kuwa Rais wa Kenya. Alikua na sifa nchini, kona zote. Alisafiri sehemu na eneo zote Kenya, nabasi wananchi wa kampa faraja na hongera. Alipochukua kiapo kua Rais wa Kenya, alinena kwamba atafuata nyayo, hasa kumaanisha ataendelea na sera za Kenyatta na umoja wa Harambee. Ijapokua wanamgambo kwa siasa hasa kwa kabila za wengi, walidhani kua Moi nikama Rais mlindaji kwa sababu ya kua ametoka katika kabila ndogo.

Mnamo Agosti 1, 1982, Wanajeshi waminifu kwa Moi, waliwaponda wanamgambo wa jeshi la aanga wa kiongozwa na Hezekiah Ochuka ambao kwa shirika na wanasiasa kadhaa walijaribu kupendua serikali. (Ona 1982 Kenya kup).

Moi, alichukua nafasi ngumu zaidi na kuwavuta kazi wapinzani na kutafuta waaminifu kwa serikali yake. Moi aliweza kuwatoa watu shuku kwa serikali yake, ambao aliwaridhi kutoka serikali ya Kenyatta na pia watu shuku kwa idhara za sheria hasa kama wakili wa serikali kama Charles Njonjo. Wengi wa wapangaji walihukumiwa na wengine kusamehewa, hasa wanajeshi wa aanga walihukumiwa kwa koti ya jeshi. Baadaye moi aliingeuza katiba kwa faraja ya kambi yake na kuiweka kenya iwe de jure nchi ya chama kimoja.

Wakenya, Wataalimu na wamaarifa, na pia vyoo vikuu, vili leta upinzani na kupinga kwa mgambo kuhusu chama kimoja nchini Kenya. Kwa chuo na sehemu za watalaamu zikawa mojawapo ya uendekezaji wa mwandamano wa kupinga utawala wa chama kimoja. Lakini, polisi jasusi waliweza kupenya makundi ya miandamano hii na watu wengi katoroka ng'ambo. Umakisti haungia fundishwa kwa vyoo Kuu na miandamano za mvungu kama Mwakenya na Pambana zikaanza.

Moi, alijulikana ng'ambo kama kiongozi anayeunga mkono ulaya ya magharibi, Kwa Vita za pepo za Ukomunisti na Ukapitalisti. Kenya ilikua kwa Muandamano wakutojiunga. Lakini serikali za Ulaya ya magharibi ziliona Kenya kama Nchi inayopinga Ukomunisti na hivyo kambi ya nguvu kwao kushinda ukomunisti. Kwa hivyo Kenya ilipokea misaada kutoka nchi za capitalisti zaidi ilikuzuia ujamaa uliotambakaa, Ethiopia, Somalia, Tanzania na pia Vita za Uganda. Kwa hivyo siasa za uhuru na haki za kibinadamu, hazikuwazisha ulaya ya magharibi hatakidogo.

Lakini, vita za pepo zilipokwisha kwa kuanguka kwa muungano wa sovieti, mambo haya mpya yakatokea, mwaandamano wa watu na wanasiasa kuitisha demokrasia ya vyama nyingi, wakiongozwa na Matiba na Oginga Odinga. Moi alianza kuonekana kama mdhalimu kwa sababu alianza kuwafunga jela wanamgambo wakidemokrasia, na pia jela zingine za kisiri ambazo watu waliteswa kwa kunanuliwana swali. Ulaya ya Magharibi ikawacha kuipa Kenya usaidizi wa kigeni na kwa kazo pande zote Dani Kenya na Nje ng'ambo, Moi kakubali kuruhusu Demokrasia ya vyama nyingi, ambapo Moi mwenyewe kaunga uchaguzi na kukampaini kwa nguvu zaidi kwa kupinga upinzani Kasarani mnamo Desemba 1991.

Moi alishinda uchaguzi wa 1992 na 1997, ambapo ulizidi kwa vita vya ukabila mkoa wa bonde la ufa. Moi aliweza kuwagawa watu wa upinzani kwa kukema ukabila, na vyama vya upinzani kupasuka kwa kambi za faraja za kabila. Na pia kwasemekana uwizi wakura hasa mkoa wa bonde la ufa na Ukambani.

Ufisadi kwa serikali

Mwaka wa 1999 Intidhamu zisio husika na serikali kama Kombo la kimataifa [1] na uchunguzi wa Muungano wa Kimataifa [2] zilichapishwa kuonyesha haki za kibinadamu kwa wapizani wa siasa hazikutetewa Kenya moi akiwa Rais.

Jina la Moi katajwa kwa Ufisadi wa 'migodi' na uzuiaji wa ufisadi huo, ambapo serikali kwa sahihi za watu wachache ilisemekana imetoa pesa ya kununua na kuuza migodi ng'ambo kwa jina ya kampuni bandia Goldenbarg ambapo Kamlesh Pattni mwana biashara wa kenya, alisemekana kua mfisadi halisi kwa oparesheni za Goldenbarg na wanasiasa waliohusika. Ilisemekana kwamba ,Moi aliiona Goldenberg kama njia moja ya kupata pesa za kigeni nchini Kenya ambapo uchumi, utalii na Usaidizi wa kigeni ulipokoma mwaka wa 1992. Hivyo goldenberg ilinunua na kuuza migodi iliochomolewa Congo. Aibu hii ya goldenbarg ni gharama ya asilimia 10% ya utolezi wa uchumi mwaka mmoja.

Pesa zilizolipwa goldenbarg, zilikua zitolee kenya pesa za kigeni lakini kwa sababu ni mambo fisadi, basi waliopewa pesa hizo wakurudisha na basi serikali ya sasa ya Mwai Kibaki ya jaribu kuchunguza kesi yenyewe zaidi.

Kutawa Kwa Nyayo

Rais Moi, kazuiwa na katiba kwa Uchaguzi wa 2002. Wengi kwa faraja za Moi walisema katiba itekelezwe ili achaguliwe mara ya tatu, lakini Moi mwenyewe kawapinga na Kutawa, na kumchagua Uhuru Kenyatta kama mwenye kiti kwa chama cha KANU, mwana wa Rais wa kwanza. Raila Amollo Odinga kwa bidii, alikampainia Mwai Kibaki,a mbapo alishinda urais kwa muungano wa NARC na Kukiriwa Desemba 29, 2002.

Moi aishi kwa utawa mjini kapsabet, ambapo huduma zake za amani na usaidizi azifanyia kwa Chuo cha moi Afrika. Wakenya wengi wamtambua Moi kwa hoja na vigelegele mahalipopote asimama. Moi hatawaleo aiunga nchi ya umoja, nchi ambayo inaunganisha makabila yote, juzi siku ya uchaguzi wa maono wa katiba mpya, Moi kaipinga katiba ambayo itagawa watu. Katiba mpya ilipokataliwa na watu, kibaki kwa hadhara, yasemekana na magazetti kwamba kapanga mkutano na moi kujadili njia ya kusonga mbele.

Ona pia