Paul Simon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Paul Simon''' ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni
'''Paul Simon''' ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni
Ladysmith Black Mabanzo. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless...
Ladysmith Black Mabanzo. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless; Mother and child reunion na Diamond in the soleof her shoe.
Paul Simon alizaliwa Oktoba 13 1941 katika mji wa Newark Height,
New jersey huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi aliwahi kufunga ndoa mara tatu ana watoto wanne mmoja wapo
ni mpigaji gitaa kama baba yake.


[[Category:Wanamuziki]]
[[Category:Wanamuziki]]

Pitio la 19:06, 15 Desemba 2005

Paul Simon ni mwanamuziki wa country, anaimba na kupiga gitaa amewahi kushirikiana na wanamuziki wengi moja ya makundi hayo ni Ladysmith Black Mabanzo. Nyimbo alizowahi kuimba ni; Homeless; Mother and child reunion na Diamond in the soleof her shoe.

 Paul Simon alizaliwa Oktoba 13 1941 katika mji wa Newark Height,

New jersey huko alifahamika kama muimbaji na mtunzi mwenye asili ya kiyahudi aliwahi kufunga ndoa mara tatu ana watoto wanne mmoja wapo ni mpigaji gitaa kama baba yake.