Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: fi:Ihmisapinat; cosmetic changes |
d r2.5.1) (roboti Nyongeza: hif:Bandar |
||
Mstari 72: | Mstari 72: | ||
[[gl:Antropomorfos]] |
[[gl:Antropomorfos]] |
||
[[he:הומינואידים]] |
[[he:הומינואידים]] |
||
[[hif:Bandar]] |
|||
[[hr:Čovjekoliki majmuni]] |
[[hr:Čovjekoliki majmuni]] |
||
[[hu:Emberszerűek]] |
[[hu:Emberszerűek]] |
Pitio la 07:19, 21 Desemba 2010
Sokwe | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sokwe mtu
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.
Uainishaji
Familia ya juu Hominoidea
- Familia Hylobatidae
- Jenasi:
- Familia Hominidae
Picha
-
Ngagi
-
Sokwe mtu
-
Lar gibbon
-
Hoolock gibbon
-
Siamang
-
Golden-cheeked crested gibbon
-
Orangutan